
Wakati mabinti wengine wakijikita katika matumizi ya mikorogo na
kukimbilia wanaume wenye pesa hali ni tofauti kwa mwanamama zari hassan
(the boss lady ) ambaye amekiri wazi kuwa kitu anachopenda zaidi katika
maisha yake ni kuzaa.
Zari ambaye ni mpenzi wa mwanamziki nyota Africa diamond platnumz
amesema hayo ikiwa ni siku chache tangu apate mtoto wa kiume aliyezaa na
diamond ambaye watu walimbeza kuwa anazaa bila mpangilio eti kiza tu
alibeba ujauzito kabla ya mtoto wao wa kwanza tiffah hajatimiza mwaka
mmoja.
Licha ya zari kuwa na watoto watano kwa sasa ameweka wazi kuwa kwa sasa
yeye na diamond wana mpango wa kuzaa mtoto mwingine wa tatu na baada ya
hapo hatozaa tena na badala yake watajikita zaidi katika kuwalea watoto
wao.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!