Tumezoea kuona mastaa wa muziki kutoka nje ya Tanzania wakifanya
ziara za kimuziki kuzunguka sehemu nyingi kwenye nchi zao au nje, sasa
tarajia kukutana na Crew ya mastaa wa muziki wa BongoFlava Wasafi Classic Baby “WCB” ikiongozwa na Diamond Platnumz kwenye mkoa wako kuanzia 2017.
Kupitia Twitter ya meneja wa Diamond Platnumz, Jorgé Mendez amepost
taarifa ya ujio wa ziara ya kimuziki ya kundi hilo ambayo itaanza rasmi
2017 huku akisema kabla hajatangaza mikoa ambayo tour itakwenda, wakazi
wa Dar es salaam wajiandae tena kwa party nyingine siku ya Valentines February 14, 2017.
COMMENT AND SHARE.....!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!