
Mwanamuziki mkongwe wa nchini Uingereza, George Michael amefariki dunia nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 53.
Msemaji wake amedai kuwa mwanamuziki huyo aliyeanza kujipatia umaarufu
miaka ya 1980s amefariki kwa amani huko Goring, Oxfordshire.
Taarifa ya msemaji wake imesema: It is with great sadness that we can
confirm our beloved son, brother and friend George passed away
peacefully at home over the Christmas period. The family would ask that
their privacy be respected at this difficult and emotional time. There
will be no further comment at this stage.
Moja ya mastaaa waliomlilia ni Sir Elton John aliyeweka picha yake
kwenye Instagram na kuandika: I am in deep shock. I have lost a beloved
friend – the kindest, most generous soul and a brilliant artist. My
heart goes out to his family and all of his fans.”
Michael, aliyezaliwa kwa jina la Georgios Kyriacos Panayiotou, kaskazini
mwwa London, ameuza zaidi ya nakala milioni 100 katika maisha yake ya
muziki.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!