Watu wanne wamekufa na wengine 28 kujeruhiwa katika matukio tofauti yaliyotokea mikoa ya RUKWA na SINGIDA.
Watu wanne wamekufa na wengine 28 kujeruhiwa katika matukio tofauti yaliyotokea mikoa ya RUKWA na SINGIDA.
Katika tukio la kwanza watu wawili wamekufa na wengine wawili
kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi kufuatia mvua iliyonyesha
ikiambatana na na upepo mkali katika kijiji cha KISUMBA manispaa ya
SUMBAWANGA mkoani RUKWA.
Mkuu wa wilaya ya SUMBAWANGA Dkt HALFANY HAULE amesema kamati ya
maafa ya wilaya itakwenda kwenye kijiji hicho kufanya tathmini ya hasara
iliyosababishwa na mvua hiyo iliyonyesha kwa dakika 40 pamoja na kutoa
msaada kwa waathirika.
Katika tukio la pili watu wawili wamekufa papo hapo na wengine 26
kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka KIOMBOI mkoani
SINGIDA kwenda DSM kupinduka katika eneo la TUMULI.
Mganga mkuu wa mkoa wa SINGIDA, Dkt JOHN MWOMBEKI amethibitisha kupokea maiti wawili wa ajali hiyo
COMMENT AND SHARE....................!!!!!!!!! Watu wanne wamekufa na wengine 28 kujeruhiwa katika matukio tofauti yaliyotokea mikoa ya RUKWA na SINGIDA.
Katika tukio la kwanza watu wawili wamekufa na wengine wawili kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi kufuatia mvua iliyonyesha ikiambatana na na upepo mkali katika kijiji cha KISUMBA manispaa ya SUMBAWANGA mkoani RUKWA.
Mkuu wa wilaya ya SUMBAWANGA Dkt HALFANY HAULE amesema kamati ya maafa ya wilaya itakwenda kwenye kijiji hicho kufanya tathmini ya hasara iliyosababishwa na mvua hiyo iliyonyesha kwa dakika 40 pamoja na kutoa msaada kwa waathirika.
Katika tukio la pili watu wawili wamekufa papo hapo na wengine 26 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka KIOMBOI mkoani SINGIDA kwenda DSM kupinduka katika eneo la TUMULI.
Mganga mkuu wa mkoa wa SINGIDA, Dkt JOHN MWOMBEKI amethibitisha kupokea maiti wawili wa ajali hiyo
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!