Netanyahu aipinga hotuba ya Kerry kuhusu makaazi;;
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Waziri mkuu wa Israeli, Benjamin
Netanyahu, ameshutumu hotuba ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani ,
John Kerry, akidai inaikosoa Israel kimaonevu.
Netanyahu anasema
Bw Kerry amekuwa akikosoa saanaa mpango wa Israel wa kupanua maakazi
yao katika ardhi ya Palestinian lakini hakosoi vya kutosha uchochezi
unaofanywa na Wapalestina.
John Kerry ameutetea uamuzi wa nchi
yake wa kuliwezesha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuupitisha
uamuzi wa wiki iliyopita, kutangaza makazi ya Wayahudi katika ardhi ya
Wapalestina kuwa ni kitendo kinachokiuka sheria za kimataifa.
Kerry amesema hatua hiyo ina nia ya kulinda uamuzi wa kuwepo kwa mataifa mawili ili kuzuia hatari ambayo ingeweza kutokea.
COMENT AND SHARE ..............!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!