Mtu aliyeendesha shambulizi kwenyr soko mjini Berlin Anis Amri, ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi mjini Milan nchini Italia.
Mtu
huyo alikuwa amewafyatulia polisi risasi walipomaka awaonyeshe
kitambulisho chake walipokuwa wakipiga doria eneola Sesto San Giovani.
mapema siku ya Ijumaa.
Polisi mmoja aliuawa wakati wa ufyatuaji huo wa risasi,
Ujerumani imekuwa kwenye tahadhari kubwa tangu lifanyike shambulizi lililowaua watu 49.
Wakati huo huo polisi wamewakamata watu wawili katika mji wa Oberhausen baada ya kushukiwa kupanga mashambulizi.
Alama
za vidole za mtu aliyeuawa vinafanana na alama za mshukiwa raia wa
Tunisia ambaye aliendesha shambulizi la bomu la lori mjini Berlin siku
ya Jumatatu na kuwaua watu 12.
COMMENT AND SHARE......................!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!