
Mji wa Moshi umekuwa na msongamano mkubwa wa magari katika barabara kuu ya kuingia mjini kutokea Dar es Salaam.
Msongamano huo wa ongezeko la magari unalosababishwa na utamaduni wa
wenyeji wa Mkoa Kilimanjaro, kurejea nyumbani kutokea mikoa mbalimbali
kwa ajili ya kusherehekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Awali, ilitarajiwa kusingekuwapo na ongezeko hilo la wageni kwa mwaka
huu, kutokana na ugumu wa maisha uliotokana na kupungua kwa mzunguko wa
fedha mitaani.
Hata hivyo, juzi saa 12.00 jioni hadi saa 2.00 usiku, kuliibuka
msongamano wa magari kuanzia eneo la Mbwaharuki hadi Magereza Barabara
Kuu ya Dar es Salaam- Moshi.
COMMENT AND SHARE.........................!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!