Staa wa soka wa kimataifa wa Brazil anayeichezea timu ya FC Barcelona ya Hispania Neymar ni moja kati ya majina ya wachezaji wanaotabiriwa kuja kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d’Or kwa miaka ya baadae.
Kama ulikuwa ni mmoja kati ya watu wanaofikiria kuwa Neymar anaiwazia sana na kufikiria kuhusu tuzo hiyo, ameamua kuweka wazi msimamo wake na anachofikiria kuhusiana na Ballon d’Or thelocal.es
“Kama
nisiposhinda Ballon d’Or ni sawa tu mimi sichezi mpira ili nishinde
Ballon d’Or, nacheza mpira ili nifurahi kwa sababu ni mchezo
ninaoupenda, kiukweli ni moja kati ya malengo yangu kushinda tuzo hiyo
lakini sitokufa ikitokea nimeikosa”
COMMENT AND SHARE.....!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!