
Leo ni siku ambayo Mbwana Samatta anasherekea siku yake ya kuzaliwa na
watu wengi wakiwemo mashabiki zake wamemuonyesha love kumtakia maisha
mema na mafanikio kwenye safari yake ya soka.
Kama ilivyo desturi ya watu kupewa zawadi mbalimbali siku ya birthday
zao basi imekua hivyo hivyo kwa Sama Goal. Akiwa kwenye muendelezo wa
safari ya kuelekea kwenye mafanikio ya soka lazima mtu kama Samatta
anahitaji inspiration ya wachezaji wakubwa waliofanikiwa kwenye soka.
Zawadi aliyopewa ya kitabu cha nguli Pirlo ni zawadi muhimu sana. Kitabu
hicho ambacho kinaitwa “I Think Therefore I Play” kinaelezea maisha ya
Pirlo aliyopitia hadi kufika alipofika leo. Maamuzi ya busara na makosa
aliyofanya kwenye maisha yake ya soka yote kazungumzia humo.
Kwa mchezaji kama Sama Goal ambae safari yake kwenye soka la Ulaya bado
changa kitampa muongozo mzuri wa kufanya maamuzi sahihi kama Pirlo au
kutofanya makosa ambayo Pirlo amefanya.
Moja ya sehemu Pirlo amezungumza ni kuhusu sehemu ya maisha yake ya
kisoka ambapo alisema hivi,“Sikubali kujipa pressure, natumia muda wa
mapumziko kwa kulala au kucheza Playstation, nikacheza na baadae
nikashinda kombe la dunia”. Hii ni sehemu ndogo ya life style ya Pirlo
alivyoelezea kwenye kitabu hiki.
Happy born day Sama Goal, all the best achieve zaidi ya Pirlo.
COMMENT AND SHARE.....................................!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!