HII ndiyo Simu ya Milioni 16.5 Anayotumia Bilionea Alhaj Dangote:;
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Inasemekana hii ndio simu anayotumia Bilionea Alahaji Aliko Dangote.
Inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni kati ya $5000 hadi $7500.
Ukibadilisha kwa pesa ya madafu ni kama milioni 16.5Tsh hivi. Alhaji sio
mtu wa ki-spoti spoti
Mfanyabiashara huyu raia wa Nigeria anamiliki kampuni tanzu ya mafuta
inayofahamika kama Dangote Group yenye makao yake makuu nchini Nigeria.
Kufikia June mwaka 2016 kwa mujibu jarida la Forbers, alitajwa kuwa na
ukwasi unaokadiriwa kufikia kiasi cha dola bilioni 15.1 akiwa amewekeza
kwenye nchi mbalimbali barani Afrika ikiwemo Tanzania ambapo anamiliki
Kiwanda cha kutengeneza ‘Cement’ kilichopo mkoani Mtwara.
COMMENT AND SHARE..................!!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!