Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji - EWURA imewasilisha
mapendekezo ya bei elekezi ya gesi asilia ambayo yanapaswa kutolewa
maoni na wadau wa gesi kabla ya bei hiyo kuanza kutumika Desemba 31
mwaka huu.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji - EWURA imewasilisha
mapendekezo ya bei elekezi ya gesi asilia ambayo yanapaswa kutolewa
maoni na wadau wa gesi kabla ya bei hiyo kuanza kutumika Disemba 31
mwaka huu.
Mkurugenzi Mtendaji EWURA
, Felix Ngamlagosi amesema bei hizo
zimepangwa kwa kuzingatia umbali ambapo viwanda vya saruji vilivyopo
ndani ya kilometa 100 kutoka Madimba Mtwara vitauziwa uniti moja ya gesi
kwa dola 4.25 za Marekani na viwanda vya mbolea dola 2.60.
Wakizungumzia mapendekezo hayo, baadhi ya wadau wa gesi wamelalamikia
muda uliotolewa wa kutoa maoni kutotosheleza ambao mwisho wa kutoa
maoni ni December 27.
COMMENT AND SHARE............................!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!