 |
Mchezaji wa Azam FC ambaye amekuwa akiripotiwa kwa zaidi ya miezi kadhaa kuwa ataenda kujiunga katika timu ya Tenerife ya Hispania inayoshiriki Ligi daraja la pili Farid Musa huku akiwa amekwama Tanzania kwa madai ya vibali, leo December 27 2016 imetoka good news kuhusu dili hilo. |
Azam FC kupitia kwa mkuu wao wa idara ya habari na mawasiliano
Jafar Iddi amethibitisha kuwa timu ya
Tenerife ya
Hispania imekamilisha taratibu za tiketi na tayari imetuma tiketi ya ndege ambapo inaonesha kuwa
Farid ataondoka kesho December 28.
Tiketi ya ndege ya Farid Musa
Farid ataondoka
Dar es Salaam kesho December 28 saa 23:00 akipitia
Amsterdam,
Barcelona na baada ya hapo ndio ataelekea
Tenerife moja kwa moja,
Farid alikwenda
Hispania April 22 2016 kufanya majaribio na kufuzu ila alikwama kwa kuchelewa kupata kibali cha kazi.
COMMENT AND SHARE........!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!