CHID Benzi Aonekana Live Akibwia Unga..Mwenyewe Adai Uvimbe Alionao ndio Sababu:;
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mtandao wa Global umeripoti habari waliyoifanyia uchunguzi na hadi
kufanikiwa kumnasa Chid Benz Kwenye Chumba cha Hotel anayoishi...
.
Mtandao huo umeripoti hivi:
DAH, KUMBE CHID ANAUMWA HERNIA
Aliposogea, OFM lilimlaki kwa shangwe na kumchangamkia kiasi
kilichomfanya atulie, akae chini na kuanza kupiga stori kwa zaidi ya saa
moja, huku mara kwa mara akilalamika kuwa anaumwa sana ugonjwa wa
Hernia na pia uvimbe chini ya kitovu ambao unamsababishia maumivu
makali. Chid alikuwa ameshika karatasi mkononi iliyoandikwa namba za
simu za prodyuza Lamar ikadondoka chini, katika hali ya kushangaza
alishindwa kuiokota maana kila alipoinama alihisi maumivu makali. OFM
wakamsaidi a kuokota karatasi hiyo.
.
Chid: Washikaji msione nipo hivi lakini kiukweli ninaumwa sana, ninaweza
kufa muda wowote, huu uvimbe chini ya kitovu unaniuma sana (akatoa
wembe na kutaka kuuchana huo uvimbe, OFM mmoja alimdaka na kumsihi
asifanye hivyo, akakubali baada ya kubembelezwa kwa muda).
.
OFM: Lakini kwa nini sasa unabwia unga na upo katika hali hii?
Chid Benz: Uvimbe huu ndio unasababisha, nisipobwia unaniuma mno, sasa huwa nautuliza kwa kuvuta.
NDANI YA CHUMBA CHAKE HOTELINI
Baada ya maongezi ya muda mrefu, Chid aliwaamini wageni wake kiasi cha
kuwakaribisha chumbani kwake, kwa ajili ya kuendelea na mazungumzo.
Chumbani, OFM walishangaa kumuona Chid akitoa mfuko chini ya godoro,
ambao ndani yake kulikuwa na sigara, wembe, kipande cha kigae, mirija na
kopo la soda lenye maji nusu, likiwa limetobolewa na mrija kupitishwa.
Baada ya kutoa vifaa hivyo, Chid alikaa na kutoa kete za madawa ya
kulevya na kuanza kuandaa kwa ajili ya kubwia. Huku akichukuliwa picha
za video kwa uhodari wa hali ya juu bila kufahamu, mara mbili alishtukia
kuwa anarekodiwa.
Lakini hata hivyo, kila aliposhtuka, alipoozwa kwa maneno matamu ya stori zikaendelea hadi saa tisa usiku.
OFM: Sasa Chid kwa nini hutaki kuachana na haya madawa wakati watu mbalimbali wanajaribu kukusaidia?
CHID: Aaah, nishawaambia ninaumwa, hata watu wanaonisaidia wamekwisha
niambia niendelee tu kutumia taratibu lakini nijali uhai nisizidishe
nisije kufa.
GPL.
COMMENT AND SHARE.............................!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!