Benchi la ufundi la wawakilishi pekee wa TANZANIA kwenye michuano ya
KIMATAIFA timu ya YANGA imesema bado haijakata tamaa kuhusu kufuzu
kuingia hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho barani AFRICA
Kocha msaidizi wa timu hiyo JUMA MWAMBUSI amesema bado wananafasi hivyo hawezi kukata tamaa wakati vitu inaendelea..
YANGA inaburuza mkia kwenye kundi lao la A wakiwa na pointi moja tu
baada ya kupata sare moja na hawajashinda mchezo hata mmoja na ili
kusonga mbele itategemeana na matokeo ya michezo mingine.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!