Kama utakuwa unakumbuka kati ya mambo 7
yatakayoanza kujitokeza baada ya Alikiba kusainiwa Sony Music ni hili la
kuandikwa kwenye jarida la Marekani linaloandika habari za mastaa wa
muziki ‘The Source Magazine’.
Meneja wake aitwae Seven aliwahi kuiambia
millardayo.com na kusema >>>
Alikiba
anakuwa msanii wa kwanza wa Tanzania kusaini mkataba na Sony World
wide, ni mkataba wa miaka mitano, habari yake sio ndogo na sasa atatokea
ameandikwa na Jarida maarufu la habari za mastaa Marekani The Source
Magazine’ 
asa leo August 9, 2016 staa huyo
aliwataarifu mashabiki wake kupitia instagram baada ya kuandikwa kwenye
jarida hilo na kuyaandika haya>>>
The
1st Bongo Flava artist in history to be featured in the THE SOURCE
MAGAZINE! I’m proud to place BongoFlava on cover feature of the number #1 MusicMag on the Planet! Show love to The Source’
‘Atakua msanii wa kwanza wa
Afrika Mashariki kuandikwa ndani ya hili jarida na hii itamsaidia
kujulikana zaidi sababu ni jarida linaloaminika na linalosomwa na
mamilioni ambapo kichwa cha habari kitasomeka kuanzia ukurasa wa mbele
wa jarida hili’ – Seven
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!