Wasanii watakaoshiriki katika tamasha la FIESTA 2016 wameanza kusajiliwa
na waandaji wa shindano hilo kabla ya kuzinduliwa rasmi AUGAST 20 mwaka
huu JIJINI MWANZA
Wakizungumza JIJINI DSM Mratibu wa tamasha la Fiesta SHAFFI DAUDA
pamoja na mwakilishi kutoka TIGO ambao ndiyo wazamni wa tamasha hilo
wamesema maandalizi yamekamilika watakao nunua tiketi kwa njia ya TIGO
PESA watapata punguzo .
Jumla ya wasanii 18 watashiriki katika tamasha hilo la FIESTA ambao litafanyika katika mikoa mbalimbali ya TANZANIA BARA.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!