Wapenzi wa kichina wafunga ndoa kwenye daraja la kioo juu ya bonde:;
Si jambo linaloweza kufikiriwa na
kila mtu kulitenda wakati wa siku maalum, Lakini wapenzi wa kichina
walichagua kusherehekea harusi yao huku wakielea angani katika daraja
la kioo.
Bibi harusi na bwana harusi walioana katika daraja la
Shiniuzhai katika mji wa Pingjiang jimbo la Hunan katika siku ya
wapendanao ya uchina inayoadhimishwa tarehe 9 Agosti, Shirika la habari
la China News Service limeripoti.
Licha ya kuelea angani yapata
futi 590 kutoka usawa wa ardhi , waliweza kuonyesha tabasamu zao
walipokuwa wakipigwa picha za harusi yao.
Madaraja ya vioo yamekuwa maarufu sana nchini uchina hivi karibuni.

Wiki chache tu zilizopita , maharusi wengine waliamua kuvalishana pete
kwenye daraja hilo hili ingawa hawakutoka kwenye daraja
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!