Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

UPIGAJI WA PUNYETO

UPIGAJI WA PUNYETO:;   


Unapozungumzia punyeto tunazungumzia kurhiriki tendo pasipo rasmi kwa kutumia visivyo rasmi mfano kutumia  mikono na sabuni, mafuta au kavukavu au kwa kutumia vitu  laini , mto, mdomo n.k.

-     Mtu anapopiga Punyeto anatengeneza maumivu kwenye misuli ya uume ambapo maumivu hayo yatakuwa katika sehemu tatu (3)
  • Itakuwa kwenye umbo la uume kwa nje
  • Itakuwa kwenye misuli ya uume kwa ndani
  • Itakuwa imemwadhiri kisaikolojia (mtumiaji)












Maumivu ya uume kwa nje
  • Anatengeneza sugu kwa umbo la uume na sugu hizo zitasababisha kuharibu  mzunguko wa damu anapotaka kushiriki tendo la ndoa, mara nyingi sugu hizo zinatawala kwenye kibovu cha mkojo
  • Kwenye  misuli ya uume kwa ndani  husababisha  kuzorota kwa misuli wakti wa kusimama kwa uume. Uume hukonda sana na kuwa mwembamba kama kalamu lakini pia hua legelege sana na kurudi ndani /kunywea
  • Saikolojia - Mtu anapoahdirika kisaikolojia mtu huyo hukata tamaa ya kushiriki tendo la ndoa/hutokwa  na mbegu za kiume pasipo kushiriki tendo la ndoa.
  • Hupata mfadhaiko
  • Hulemaa  viungo vya mwili/mkono
  • Hupata mawazo mabaya
  • Hupata  ndoto za kushiriki tendo la ndoa
  • Kuchanganyikiwa  kiakili
  • Kuchukia wanawake
  • Kutokuwa mwili wenye nguvu za kazi
Kwa upande wa mwanamke - Kupiga Punyeto 
  • Kutengeneza kutokuwa na kiwango cha kushiriki tendo la ndoa
  • Kuwa na mwili usiokuwa na joto
  • Kuwa na uke wenye sura mbaya
  • Kuwa na Fungas na magonjwa mengine ya ngozi
  • Husababisha kuchukia wanaume na kutotaka kujua faida ya mwanaume
  • Hugeuka kuwa  msagaji
  • Aghalabu kuolewa
  • Kuharibika kwa umbo la mwili/kuwa kama mwaaume
  • Kuchukia kukaa na wenzake
  • Kutotaka  kushirikiana na wenzake
  • Kuwa na jasba/jeuri/hasira
  • Maumivu ya kichwa cha mara kwa mara
  • Kukata tama ya kuolewa
  • Kujihisi mlemavu
  • Kuwa  na stress /mawazo
Madhara  kwa mwanaume
  • Akioa mwanamke ni vigumu kuishi naye
  • Kuwa mbakaji
  • Kuwa mlevi  wa kutupa/pombe /bangi au madawa ya kulevya
  • Kukata tama ya maisha
  • Na vigumu kusikiliza ushauri wa mtu yeyote/hashauriki
Madhara kwa mwanamke
  • Mwanamke akiolewa ni vigumu kudumu kwenye ndoa
  • Kupata michubuko kwenye uke ndani mara kwa mara
  • Kutoa harufu mbaya kwenye uke
  • Kutokwa  na maji maji sehemu ya uke yenye harufu mbaya
  • Kutokupata mimba
  • Kutokuwa na ratiba ya siku zake za hedhi
  • Kuwa Malaya/kutokuwa na staha kwa mwanaume mmoja
  • Kuwa  na hasira na jerui
  • Kuwa mbakaji  kwa rika lisilo lake
  • Kuwa mlevi, mvutaji, madawa ya kulevya , kutotaka ushauri/hashauriki
Tiba ni kupata dawa  ya  kubadili mfumo wa kushiriki tendo  la ndoa kutoka kuwa mtu  mmoja na kuwa watu wawili
  • Dawa itatumika kama chaikavu kutafuta au kula kwenye supu hasa ya samaki
  • Ushauri kwa mpigaji punyeto kwa sasa au aliyepiga zamani ni vema ukatumia  dawa  madhara yake hujitokeza wakati wowote ule ukiwa kijana au mzee.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube