Mgombea wa chama cha Republican
nchini marekani Donald Trump amemtaja mshindani wake wa chama cha
Democratic Hillary Clinton kuwa 'shetani'.
Akizungumza kwenye mkutano huko Pennsylvania bwana Trump alimshambulia Bernie Sanders kwa kumuachia nafasi Bi Clinton.
Tajiri huyo alisema kuwa Sanders alifanya makubaliano na 'shetani' .
Wanachama
wa Democrat na Republican wememkosoa bwana Trump kutokana na matamshi
yake kuhusu wazazi wa mwanajeshi M'marekani muislamu aliyeuawa vitani
nchini Iraq.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!