Tabia 10 zinazoharibu Figo:;
- Kubana mkojo muda mrefu
- Kutokunywa maji ya kutosha kila siku
- Kutumia chumvi nyingi kuzidi kiwango
- Kula nyama mara nyingi
- Kutokula chakula cha kutosha
- Kuchelewa kujitibu maambukizi madogo madogo haraka na kwa usahihi
- Kutumia visivyo dawa za kutuliza maumivu
- Kutumia dawa kwa ajili ya insulin kwa muda mrefu
- Kunywa pombe kupita kiasi
- Kutopata muda wa kutosha kupumzika. Kunywa glasi 2 za juisi ya parachichi kila siku kutaziweka figo zako katika hali ya usafi na afya.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!