STARS kuivaa Nigeria:;
KOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, TAIFA STARS, CHARLES BONIFANCE
MKWASA,MASTER ametangaza kikosi cha wachezaji 20 kitakachoivaa timu ya
taifa ya NIGERIA,THE GREE ANGLES katika mchezo wa kuwania tiketi ya
kushiriki kombe la mataifa ya Afrika, utachezwa ugenini SEPTEMBA tatu
MKWASA amesema mchezo huo wanauchukulia kwa umuhimu mkubwa ndio maana
amechagua kikosi chenye wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kuibuka na
ushindi katika mchezo huo.
Tanzania inashika nafasi ya mwisho katika kundi la G ikiwa na alama
MOJA ,huku MISRI ikiongoza baada ya kujikusanyia ALAMA 10 na tayari
imevuzu kwa fainali za AFRCON 2017,NIGERIA ina alama MBILI,timu ya CHAD
ilijitoka katika kundi hilo kutokana na ukata.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!