
Baada ya TID kudai kuwa Bill Nas hana shukrani, Shilole ameibuka na kumtetea rapper huyo wa label mpya, ‘LFLG’.
Bado Bill Nas amekuwa akisema kuwa aliondoka Rada bila tatizo.
Akiongea na Perfecto TV, Shilole amesema Bill ni kijana mtulivu.
“Wanamuonea sana Bill Nas, kwasababu ni kijana mtulivu ambaye anaelewa
nini anafanya. Hapendi competition ila kuna watu wanataka kufanya
competition naye na kutaka kutengeneza jambo ambalo halina maana,”
amesema Shilole.
“Ni kweli hakuna mtu aliyemjua Bill Nas kabla hajawa kwa TID lakini mimi naamini anamheshimu sana TID.”
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!