Mwanadada machachari katiaka tasnia ya Bongo movies Shamsa Ford
amemuweka wazi mpenzi wake aliyekuwa akimficha kwa muda sasa usiku wa
siku yake ya kuzaliwa huku akimtupia mama yake mzazi shukurani za
kutosha.
Akizungumza
na eNewz Shamsa amesema “nampenda kumuambia mama shamsa kwamba nampenda
saana na sina cha kumlipa nitamuombea kwa mungu amjalie na yaah
yes...nakuwaga mzito labda kwa sababu ya uwoga lakini mapenzi yakikuzidi
mwisho wa shiku unashindwa kujizuia na ni kweli nimetolewa mahari”.
“Ni kweli naingia kwenye biashaa ya nguo kazi ipo pale pale kwa
sababu nikiwa kama msanii lazima nijiwekee biashara ya kuniingizia
kipato na sio tu kutegemea sanaa”. Shamsa alimalizia kwa msisitizo.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!