Bongo fleva super staa Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa anatarajia
kupata mtoto wa kiume na kwamba angependa mashabiki wake watoe mitazamo
yao juu ya jina gani ampe mtoto wake.
Baadhi ya picha za Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan
‘Zari The Boss Lady’ alizotupia mtandaoni zilionyesha vizuri mimba yake. Mastaa
hao wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenzi wake mkali wa wimbo
‘Kidogo’, Diamond Platnumz.
Mpaka sasa tunafahamu kuwa mwezi Decemba ndio Zari atajifungua mtoto huyu wa pili.Kupitia instagram yake Diamond aliandika hivi…
“Looking so sexy, my
Beautiful and cute Wife @zarithebosslady???? ????!!!… Please tell what
would you like me to name my Upcoming Son?…(Tafadhali niambie Mtoto
wangu wa kiume unadhani akija nimwite jina gani…?)”
COMMENT AND SHARE..................................
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!