Kampuni ya kielektroniki ya
Samsung ya Korea Kusini, imekunusha taarifa zilizotolewa na familia ambazo zinataka fidia ya madhara ya viwanda.
Kundi la wafanyakazi limesema watu 76 wamefariki kutokana na kemikali za kiwanda ambacho kinatengeneza bidhaa za
samsung.
Baadhi ya kesi zilimalizika lakini,lakini nyingine zinachelewa
kutokana na mamlaka Kutaka kujua ni kemikali gani zimesababisha ugonjwa
na vifo.
Samsung imesema kufichua taarifa kama hizo ni kutoa siri za kibiashara.
Imekanusha kuzuia taarifa kinyume na sheria.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!