Raia wa CANADA aliyejiunga IS auwawa
Polisi katika jimbo la ONTARIO nchini CANADA wamesema wamemuuwa mtu
mmoja raia wa nchi hiyo ambaye aliyetangaza kujiunga na mtandao wa
ISLAMIC STATE
tu huyo alionesha mtandaoni kwenye mkanda wa video jinsi
alivyompiga risasi na kuuawa ndani ya teksi, baada ya kulipua kilipuzi
akiwa amekaa kiti cha nyuma.
Polisi imesema mwanamume huyo AARON dreva mwenye umri wa miaka 24
aliuwawa Jumatano kufuatia taarifa za kijasusi zilizotolewa na idara ya
upelelezi ya MAREKANI, FBI, kwa maafisa wa CANADA.
Aidha polisi inasema AARON alipigwa risasi na polisi akiwa katika
hatua ya mwisho ya kujiandaa kutekeleza shambulio na bomu lililotengezwa
nyumbani baada ya kupokea taarifa za kuwepo kwa mpango wa shambulio
hilo.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!