
Diamond Platnumz ana miaka mingi ya kuvuna mapesa kutokana na show zake. Kutoka kwenye mapokezi yaliyovunja rekodi, Meru nchini
Kenya
hadi kuangusha show iliyohudhuriwa na makumi kwa maelfu ya mashabiki
wenye kiu, staa huyo ameendelea kujiweka kwenye ligi yake mwenyewe.

Ilikuwa ni show ya mtu mmoja na kwa
picha alizoweka kwenye page yake ya Instagram, inaonesha jamaa alihama na kijiji. Tazama
picha hapo chini.
COMMENT AND SHARE...............................................
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!