Hili jambo kipindi cha nyuma sikuona kama ni tatizo lakini sasa naanza
kuona ni tatizo. siku nimekaa nikapiga mahesabu ya idadi ya wanawake
nliotembea nao ni zaidi ya 500 hao ndio ninawakumbuka. huwa
nachanganyikiwa kabisa nikiona mwanamke....sijafaham kama nilirogwa au
ni nini. nimetembea mikoa kama 8 hivi tanzania huko nimeacha kilio tu
maana nimepiga mahesabu nina watoto wa nje mpaka sasa 17. moja ya tatizo
langu kubwa huwa sipendi kabisa kutumia kinga.
naweza nikatumia kinga bao la kwanza ila ujue kuendelea hapo yaani huwa
navaa natumia baaaye naichomoa ili nipige issue kavu baada ya saa moja
au mawili ndo naweza kumaliza. nikivaa kinga ndo inaweza ikafika kesho.
wanawake wameshanijua yaani wakitaka pesa wananionesha tu k
zao..wakionesha basi naishiwa nguvu yaani hata nikiwa na hasira vipi
nikioneshwa K.U basi naachanganyikiwa nakuwa kama bwege tu.
nakumbuka kuna siku moja nlikuwa na dada mmoja room kwake tunapiga story
huku tunaangalia movie..mara ikaja sehem ya movie wanafanya tendo hilo
la ndoa.nikajawa na hamu ile mbaya nikaanza kumuomba yule dada...yule
dada alinambia hawezi nipa maana sijatulia kabisa. tena mbaya zaidi
akanionesha kuwa unaiona hii....huku akifunua na kunionesha hakuwa
amevaa nguo ya ndani. akanambia unaiona hii??? sikupi hata kidogo we
hujatulia" siku ile nililia sana kulilia anipatie ile issue...nlilia
kama masaa matatu hivi na nikamwambia yule dada achukue kadi yangu
akachukue pesa zooooote zilizopo kwenye account yangu akirudi anipe...
akagoma akasema kama nipo serious basi nimrushie pesa kwenye simu yake.
nikaangalia kwenye account nlikuwa na 450,000. nlimrushia ndo akanipa
issue. nlipomaliza ndo akili ilinirudia nlijilaumu sana maana nlimpa
pesa yangu yooote. mwezi mzima niliteseka.
siku nyingine nliahirisha safari kabisa kumkimbizia dada mmoja ambaye
alikuwa anaishi buguruni kwa mnyamani nlimfutatilia toka mwenge wakati
mimi nlikuwa naenda mbezi.ilibidi niahirishe safari yangu nimfate mpaka
kufika buguruni kwa mnyamani yule mtoto ndo akakubali tukae sehemu tule
chips kuku ndo tuwekane sawa.
sasa nawaza nifanyeje jamani pamoja ya kuwa ndo udume wenyewe lakini
daaaah mwenzenu napenda sana kukuchi. napenda ,napenda napenda...na
nikiona nachanganyikiwa kabisa hata siwezi kufikiri vizuri.
By Brian
COMMENT AND SHARE..................
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!