Navy Kenzo: Ngoma Yetu Mpya ina Hadhi ya Kuingia Kwenye Chati za Billboards:;

Kundi la wasanii wa Bongo Flava la Navy Kenzo linaloundwa na Nahreel na Aika, limesema single yao mpya ni shida!
Wamesema wimbo huo una vigezo vyote vya kuweza hata kuingia kwenye chati za Billboard.
“Tumekuwa tukifanya muziki mzuri na wa tofauti ili tuifikishe Bongo
Flava mbali. Sasa kuna nyimbo inakuja watu wakae tayari kwa sababu
tumewekeza sana kwenye production na kila kitu,” waliiambia XXL ya
Clouds FM.
“Ni ngoma kali Sana kuanzia style na kila kitu. Pia album yetu ‘Above In
a Minute’ inakuja na wnyimbo hiyo itakuwepo pia, tunataka tufanye vitu
vikubwa ikiwemo kuzifikia chati za Billboard,” waliongeza.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!