
Mwimbaji Ruby ambae alikuzwa na kulelewa na Clouds FM Baada ya Kufanya
vizuri katika mashindano ya Fiesta Diva Nyota miaka kadhaa iliyopita
amejikuta katika ugomvi wa kimaslahi na walezi wake Clouds FM baada ya
kushindwana malipo katika Matamsha ya Fiesta yanayoendelea hivi sasa..
Ruby kwa sasa inaonekana amekimbili kwa washindani wa Clouds FM ambani
ni EFM Radio, Radio hiyo mpya ambayo ni washindani wa Clouds FM kwa
jijini Dar es Salaam wamechukua fursa hiyo na sasa wanamtumia katika
matamasha yao ya Mziki Mnene Sehemu mbali mbali...
Je unaona ni sahihi Ruby Kufanya hivyo?
COMMENT AND SHARE.........................
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!