Mwanaeme Anayepetipeti Vs Mwanaume Mtundu Kitandani:;
Leo nina swali dogo tu kwa ladies. Assume una wanaume wawili mmoja ni
mzee wa kupetipeti, yaani utabembelezwa, maneno matamu yakukufanya
ujihisi wewe mzuri kuliko malkia cleopatra, utapewa kila ukitakacho
mtoto wa kike, utasikilizwa, utaheshimiwa, utaachiwa uhuru nk. Lakini
mkiingia uwanjana jamaa anaishia kukupakaza jasho tu, in short jamaaa ni
lazy sana kwa bed. Lakini Kwa upande mwingine una jemba nyingine ambayo
kupetipeti kumeipitia kushoto kubembeleza hajui, bahiri, maneno matamu
hana. Ila ukija kwa bed anapiga mzigo balaaaa, unahisi utamu mpaka mboni
ya jicho inavibrate.
Sasa inafikia wakati inabidi ubaki na mmoja tu. Kwa wewe mdada
ungempa kibuti nani na kumpa shavu nani? Kati ya jamaaa hizi mbili
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!