MSONGO WA MAWAZO UNAVYOATHIRI MWILI
WAKO, NA NJIA ZA KUWEZA KUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO NA KURUDISHA MWILI
KATIKA HALI YA KAWAIDA:;
Moja ya sababu ambazo zinachangia kwa kiasi kikubwa kuzorota
kwa afya na kusababisha vifo vingi ni msongo wa mawazo .
NAMNA MSONGO WA MAWAZO UNAVOATHIRI MWILI
Pale mwili unavokutana na hali ya tofauti aidha kitu cha
kutisha au kinacholeta mawazo ndani ya mda mfupi na tofauti hiyo ikashindwa
kutambuliwa haraka na ubongo mfano pale unapokutana na samba au mnyama yeyote
mkali usiyemtegemea, basi mwili hutoa
kichocheo kinachoitwa cortisol ambacho kinamwagwa kwenye damu ili kuuandaa
mwili aidha kupigana au kukikimbia hcho kitu.
Mapigo ya moyo yanaongezeka, mapafu yanachukua kiwango
kikubwa cha hewa, na mzunguko wa damu pia unaongezeka baadhi ya sehemu za kinga
yako inazidiwa na mzigo mkubwa kwa mda hivo kutoa nafasi kwa viumbe adui
kushambulia mwili wako kirahisi.
Pale msongo wa mawazo unapokuwa mkubwa ndipo kinga yako ya
mwili inavozidi kutohisi uwepo wa kichocheo cha cortisol ( yaani kwa lugha
rahisi ni kwamba msongo wa mawazo unapunguza kwa kiasi kikubwa makali ya kinga
yako ya mwili), kwa sababu kitazalishwa kwa wingi zaidi ili kuandaa mwili
kupambana, na hivyo madhara yanyotokana na kutofanya kazi kiusahii kwa kinga ya
mwili ndivyo yataongezeka zaidi.
MSONGO WA MAWAZO UNAVOSABABISHA KUVURUGIKA KWA HOMONI ZA
KIKE NA KULETA TATIZO LA POLYCYSTIC OVARY SYNDROME.
Ovary ni mfuko wa mayai ya kike, yaani mahali ambapo mayai
ya kike huzalishwa.polycstic ovary syndrome au PCOS kwa kifupi ni ugonjwa
unaosababishwa na kuvurugika kwa vichocheo vya kike unaowapata zaidi wanawake
walioko katika kipindi cha kuzaa. Wanawake wenye PCOS huwa na ovary
zilizotanuka na zenye vimbe za majimaji ndani yake. Hedhi isiyokatika au isiyo
na mpangilio maalumu, uotaji wa nywele kwa kasi, Kitambi na nyama uzembe, hizi
ni dalili ambazo zinaweza kutokea kwa mwanamke mwenye PCOS. Msongo wa mawazo
husababisha mwili kutoa vichocheo kama androstenedione ambacho ni kisababishi
cha awali cha tatizo cha kujaa majimaji mifuko ya mayai kwa wanawake.
MSONGO WA MAWAZO KUPITILIZA UNAVOBADILI VICHOCHEO VYA KIUME
VILIVYOPO NDANI YA MWANAMKE.
Licha ya msongo wa mawazo kusababisha uzalishaji mkubwa wa
vichocheo ndani ya mwili wa mwanamke pia vichocheo hivyo huanza kupambana na
hali hiyo ya msongo wa mawazo. Hapa ieleweke kwamba msongo wa mawazo siyo
kisababishi pekee cha PCOS , tatizo hilo linaweza pia kusababishwa na ulaji
mbaya usiozingatia sheria za lishe bora, kutokufanya mazoezi, matumizi makubwa
ya wanga na sukari na pia vyakula vilivyosindikwa na kwa ujumla mtindo mibovu
na hatarishi ya kimaisha.
KWANINI MSONGO WA MAWAZO HUSABABISHA UZITO MKUBWA NA KITAMBI
Kuongezeka ovyo kwa uzito,kitambi na nyama uzembe ni tatizo
linalohusiana na ,msongo wa mawazo. Msongo wa mawazo unabadili jinsi mafuta
yanavohifadhiwa ndani ya mwili kwa sababu ya kubadilika kwa vichocheona
kemikali mbalimbali zinavyozalishwa na
mwili pale ambapo unakuwa na stress. Kwa mfano tafiti zinasema kuwa stress
kupitiliza husababisha uzalishaji wa protini inayoitwa betatrophin ambayo ni kizuizi kwa vimeng’enya
ambvyo huvunjavunja mafuta yaliyohifadhiwa kwenye mwili.
NAMNA YA KUPUNGUZA ATHARI ZITOKANAZO NA MSONGO WA MAWAZO
Stress ni kitu kisichoepukika kwenye maisha ya kawaida,
lakini ni muhimu kufahamu na kuelewa namna ambavyo unashugulika na tatizo hilo
ndivyo itakavoamua matokeo yake kiafya aidha mazuri au mabovu. Msongo wa mawazo
huisha pale tu kisababishi au hatari inapopita na kutoweka.
Kuna njia nyingi ambazo unaweza kutumia ili kupunguza msongo
wa mawazo. Hvyo ni jukum lako kuangalia njia gani inafiti kwako na uweze
kuikazania.
Moja ya njia hizo ni kuhakikisha unapata usingizi wa kutosha
na kupumzisha mwili, mwili unapokosa usingizi wa kutosha basi unapunguza uwezo
wa kukabiliana na msongo wa mawazo na hivyo kuongeza hatari ya kuugua magonjwa ya moyo . njia zingine unazoweza
kutumia ni hizi hapa
1.
kushugulisha mwili mara kwa mara
2.
kufanya mazoezi mepesi ya mwili
3.
kubadilishana mawazo na watu wanaokuzunguka
4.
tenga mda kufanya vitu vinavyokupa furaha
5.
kusikiliza musiki na kufurahi.
HITIMISHO
Mpenzi msomaji kama tayari umeshaathirika
kutokana na msongo wa mawazo basi tumeweza kutengeneza kirutubisho kinachoitwa
Melatonin chenye vidonge 60 vilivyotengenezwa kiasilia kabisa ambacho
kitakusaidia mambo haya
1.
kuongeza kinga ya mwili na kusaidia kurudisha
mwili katika hali ya kawaida
2.
kupunguza athari za msongo wa mawazo na pia
kuongeza usingizi kiafya
3.
kuondoa sumu mwilini zinazozalishwa kutokana na
msongo wa mawazo, kuzua saratani na magonjwa ya moyo
4.
kuongeza ufanisi kwenye tendo la ndoa
kama una maoni ama ushauri na unahitaji tiba basi usisite
kutuandikia kwa msg/whatsapp 0758157247.
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!