Msanii Rubi na Clouds Fm Hapatoshi...Aikacha Show ya Fiesta Mwanza Kisa Maslai Madogo:;

Mtandaoni wa Tizneez ametoa exclusive ya kwanini Msanii Ruby hakuonekana
Mwanza wala kupanda katika jukwaa la Fiesta wakati alikuwa mmoja wa
wasanii waliosajiliwa...
Hivi Ndivyo mtandao huo ulivyoandika
Exclusive Ruby Amezungumza mengi ila kati ya machache ni "Maslahi
yamenifanya nisiende kwenye Fiesta, Kisa ni Clouds ndio nisiwe free na
kuongea, end of the day it's not about clouds it's about my
future.Katika shindano la super diva ilikuwa super diva mshindi atafanya
Fiesta, wakati umefika lakini ntafanya Fiesta for nothing? Mimi sitaki
kuongelea price ambayo naipata sababu nahisi nikiongea sijui watu
watajiskiaje ukubwa wa show ulivyo. ...Tunakuwa na menejiment ambazo
zinaendesha wasanii kimabavu, unadhani kwanini @jidejaydee wanamuita
komando??
JE Mdau Unaona Huo Ndio Mwisho wa Ruby ? Au Clouds FM ndio wanamakosa... ?
Kwanza migogoro ilianza na Mkubwa na Wanawe , Sasa imegeuka kwa Clouds
FM ambao ndio waliomtoa na kumkuza mpaka hapo alipo sasa....
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!