Wiki iliyopita ilikuwa yenye mavuno madogo kwa soko la hisa la DSM baada
ya mauzo ya soko hilo kushuka kwa aslimia 34 na kufikia shilingi
bilioni 2.2 ikilinganishwa na mauzo ya shilingi bilioni 3.3 wiki
iliyotangulia
Mauzo hayo yameshuka kutokana na kushuka kwa uhitaji katika soko hilo
ambapo idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa zimeshuka kwa asilimia 42
na kufikia hisa milioni 1.3 ikilinganishwa na hisa milioni 2.2 wiki
iliyotangulia.
Afisa mwandamizi wa DSE Mary Kinabo amesema hisa zilizopata
wawekezaji wengi wapya wiki iliyopita ni za Benki ya CRDB, DSE na benki
ya NMB.
COMMENT AND SHARE........................................
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!