Mmoja kati ya wasanii wa Mzee Yusuph Amigo amesema Mzee Yusuf ni mtu
ambaye kwa sasa yupo katika biashara zaidi kuliko muziki na kuwaachia
nafasi wao wajulikane
Akizungumza
ndani ya eNews Amigo amesema “ kwa kweli sifahamu na sijataka kuingia
kiundani zaidi kuwa nini kinamsumbua mimi ninachofikiria ni kwamba
nafanyaje nini ili baba yangu huko aliko apate faraja kwamba mimi sipo
kazini kutokana na majukumu yangu binafsi lakini mtoto wangu anafanya
kazi na taarifa nazipata”
Alimalizia kwa kusema “ Na yule ni mtu mkubwa sasa ana familia mbili
ana kampuni amefungua ana vitu vingi vya kufanya naamini ni wakati wa
yeye kusema kuna vitu sasa ngoja niviweke sawa kwa kuwa kuna wakati
alienda china akarudi ameamua kuwekeza sana katika biashara kuliko
kwenye muziki”
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!