MADHARA YA PUNYETO NA TIBA YAKE:;
MADHARA YA UPIGAJI PUNYETO, NAMNA YA KUEPUKA, NA TIBA
Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto.
Masturbation au punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au
msisimko ambao unampelea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa
zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake, katika picha za
zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo,
movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake
mwenyewe! Na wanasema. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema
wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto!
Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa
kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana
katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la
lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya
mwanadamu.
Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto.
Aslimia 60 ya vijana wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 30 wameathirika
na tatzo hili (chronic masturbation) na inakuwa ngumu kujinasua kutoka
kwenye hili janga, kama wewe ni mmoja wapo na ulkuwa ukitafuta kwa mda
mrefu ufanye nini ili uachane na tabia ya kupiga punyeto basi fatilia
kwa makini makala hii.
MADHARA YA UPIGAJI PUNYETO KWA MWANAUME
Haya ndio baadhi ya madhara ya kimwili ambayo yanaletekezwa na upigaji punyeto
1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME:
Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani
kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa
unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa
unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa
nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa kama umelegea.
2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:
Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi
akiwa anafanya tendo la ndoa na wakati mwingine uume hushindwa kusimama
kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzake
bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kufanya tendo hilo.
Athari nyingine ni kama zifuatazo
3.Uchovu wakati wote / Fatigue. Feeling tired all the time.
4.Maumivu ya nyonga / Lower back pain.
5.Kusinyaa kwa Nywele / Nywele kunyonyoka / Thinning hair / Hair Loss
6.Maumivu ya kende / Groin / Testicular Pain
7.Maumivu ya kiuno
Hayo ni baadhi ya nukuu zangu!
Kuna faida nyingi sana ambazo utazipata endapo utaachana na tabia ya
upigaji punyeto na hiyo napenda iwe sababu ya wewe msomaji kuachana
hicho kitendo.
Kuacha punyeto ama mtindo flani wa maisha inahitaji utambuzi, uamue na
pia uweze kjicontrol wewe mwenyewe, inahitaji nguvu ya ndani yako
kushinda vishawishi , zifuatazo ni njia ambazo utaanza kutekeleza ukiwa
nyumbani kwako bila gharama yoyote na zitaanza kukupa matunda, lazima
uwe mwaminifu kufuata kile ninachoelekeza maaana ni njia ambayo
imewasaidia vijana wengi.
1.PATA MDA MWINGI WA KUPUMZIKA
Baada ya shuguli za kawaida haikisha unapata mda wa kupumzika, lala
mapema ili uweze kuipa akili mda wa kuchambua na kutunza taarifa za
muhimu na kufuta zile ziszo za muhimu. Hakikisha unalala mapema hapo
ndipo utaongeza uwezo wa akili kuweza kupambana na hisia na mawazo
mabaya.
2. MATUMIZI YA MBOGAMBOGA NA MATUNDA KWA WINGI
Utafiti wa kisayansi unaonesha kwamba matumizi mazuri ya vyakula vya
mbogamboga na matunda Husaidia kuongeza uwezo binafsi wa kujisimamia juu
ya tamaa na mihemko mbalimbali, matumizi ya vyakula vilivyosindikwa
(junk foods) ni chanzo cha kushindwa kujizuia na hapo safari yako ya
kuachana na upigaji punyeto itakwama.
3. FANYA MAZOEZI NA USHUGULISHE MWILI
Maozezi yanasaidia mwili kutofikiria kufanya mambo machafu sababu mara
nyingi unakuwa bize, akili inapokuwa inashugulishwa basi uwezekano wa
kuleta fikra mbaya ni mdogo sana
4. ACHA KUANGALIA PICHA ZA PONO
Tafiti zinasema kwamba vijana wengi wenye umri kuanzia miaka 15 mpaka 30
ndo kundi kubwa lililoathirika kwa kutazama picha za pono, piacha au
video za ngono huleta msukumo kwenye akili ili kuweza kujiridhisha na
hivo hupelekea watu kupiga punyeto ili kukata ile kiu ya tamaa zao za
mwili.
MUSTERBATION EFFECTS REMEDY PACKAGE
Kwa kutambua kuwa vijana wengi wameathirika na tatizo la upigaji punyeto
na wengine wakiwa wamekata tama basi tunakuletea package ya siku 60
kwa bei ya punguzo sh 135000 tu.ambayo itakusaidia kukurudisha katika
hali ya kawaida hata kama ulishaathirika kwa upigaji punyeto.
Tuandikie kwa text/whatsapp number 0758157247
Au email elifasimkumbo@ gmail.com
NB, hakikisha mpaka umetutafuta upo serious na unahitaji kuondoa tatzo .karibu sana
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!