Maandalizi ya Tendo la Ndoa(Foreplay):;
Kabla ya hili tunda kuliwa kuna umuhimu wa kuhakikisha
linaandaliwa kwa uhakika na wewe unayetaka kulila ili uweze kulifaidi
vizuri, si suala na kukurupuka na kulivamia bila maandalizi mazuri na ya
kutosha.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanaume na mwanamke linapokuja suala la tendo la ndoa au kufanya mapenzi au
sex.
Je, maandalizi ya tendo la ndoa (foreplay) ni nini?Ni kitu kinachofanyika kati ya wakati mmetoa nguo zote na kabla ya mwanaume kuingiza uume kwenye uke.
Ni kubusiana, kugusana, na kuchezeana hadi mnakuwa mmesisimka vya kutosha kwa ajili ya tendo la ndoa.
Ni kuuungana kihisia, kiroho na kimwili kwa muda wa kutosha kabla ya tendo la ndoa
Ni msingi na kitu muhimu kwa ajili ya kuhakikisha unapata tendo la ndoa lenye kuridhisha.
Ni sanaa ya kuelezea upendo na kukaribishana kwa ajili ya tendo la ndoa.
Ni muhimu kwa ajili ya kumwandaa mwanamke kwa ajili ya tendo la ndoa.
Ni kumhusisha partner wako vizuri zaidi kupata hisia za upendo na ukaribu kimahaba yeye kujiona mtu maalumu kwako
Ni aina ya meditation (kutafakari) ambapo hukusahaulisha na mambo ya dunia (ulimwengu wa nje) na kuondoa strees na kukuwezesha ku-focus kwenye mapenzi moja kwa moja (connection)na yule umpendaye.
Pia
kusoma maandishi yanayosisimua, kuangalia video na picha zinazosisimua
na maongezi yanayoosisimua kimapenzi ni foreplay pia.
Je, tofauti ya kuwahi kusisimka kwa mwanaume inaweza kuleta tatizo?Wanaume wana mzunguko mfupi sana kuamshwa kimapenzi (arousal), wakati wanawake wanamzunguko mrefu sana katika kuamshwa kimapenzi.
Ingawa pia uwezo wa kusisimka na kuamshwa kimapenzi unategemaa sana mambo yafuatayo:-
Umri - unavyozidi kuzeeka homoni hupungua hivyo kutumia muda zaidi.
Afya - kama unaumwa na dhaifu unahitaji muda zaidi.
Uzoefu na malezi - kama umelelewa na kuelezwa kama sex ni mbaya kazi ipo
Kuna
matatizo mengi hujitokeza hasa kutokana na tofauti kubwa ya mzunguko wa
kusisimuana na kuamshwa kimapenzi kati ya mwanaume na mwanamke na hii
hupelekea hata baadhi ya wanandoa kujisikia vibaya na kutokupenda kabisa
tendo la ndoa.
Kwa kuwa wanaume ndiyo husisimka haraka na kumaliza
tendo la ndoa mapema kuliko wanawake ambao wakati mwingine kwanza ndo
wanakuwa waanaanza kusisimka na kupata raha ya tendo.
Suala la msingi ili kuondoa matatizo ni wahusika kuwa na elimu au sayansi ya mwili na tendo la ndoa linavyokuwa.
Kama
wote ni vilaza (mbumbumbu) na hawajui sayansi ya miili yao basi,
mwanaume anaweza kudhani kwamba mwanamke anashindwa kuitikia msisimko
anaompa, wakati huohuo mwanamke naye anaweza kudhani ana matatizo kwa
kushindwa kusisimka haraka sawa na mwanaume anavyosisimka hivyo kukata
tamaa na kujiona wote wana kasoro kumbe ni mzima na tatizo ni ufahamu wa
miili yao wenyewe.
Hii tofauti ya kusisimka kimapenzi wakati wa
tendo la ndoa wakati mwingine hupelekea kuathiri kabisa maisha ya mahaba
kwenye ndoa hadi pale wote watakapofahamu vizuri mwitikio wa miili yao
linapokuja suala la sex.
Je, unamchukua mwanaume dakika ngapi kufika kileleni?Kawaida
mwanaume inamchukua dakika 3 tu kuweza kufika kileleni tangu asisimke
kimapenzi, wakati mwanamke humchukua zaidi ya dakika 15 kufika kileleni
tangu asisimke, hii ina maana kwamba bila maandalizi mazuri ya
kusisimuana mwanaume huweza kufika kileleni hata kabla mwanamke hajaanza
kusisimka na muda ambao mwanamke alitakiwa kufika kileleni mwanaume
anakuwa tayari alishamaliza kazi zamani.
Utafiti unaonesha ni
asilimia 20 au 30 tu ya wanawake hufika kileleni na tatizo kubwa ni
kutokuandaliwa vizuri na wapenzi wao (wanaume) na maandalizi mazuri
ndiyo siri pekee ya mwanamke kufika kileleni na hatimaye kufaidi utamu
wa tendo la ndoa.
Mahusiano mazuri maana yake ni wawili ambao
wanatimiziana mahitaji muhimu na hitaji muhimu katika ndoa ni pamoja na
tendo la ndoa.
Suala la tendo la ndoa lina umuhimu sawa na maeneo mengine katika ndoa kama kazi, chakula nk.
Ni muhimu kuwa na maarifa kuhusu mwili na tendo la ndoa kwani waingereza wanasema
Knowledge is Power
Je, ni makosa gani (deadly) ambayo wanaume hufanya katika kumuandaa mwanamke?
(i) Kuwa na harakaWanaume wengi huwa na haraka ya tendo la ndoa bila kuzingatia umuhimu wa kumuandaa muhusika kwanza.
Wanawake
hutumia muda mrefu ili kusisimka ndiyo maana unahitaji kutumia muda
bila kuwa na haraka ili uweze kumsisimua na zaidi kuwa na sex nzuri na yenye kuridhishana.
Ni vizuri kutumia muda wa kutosha kumuaandaa na kama unaweza hata kumfikisha kileleni hata kabla ya kumwingilia.
(ii) Kukosa kujua sehemu muhimu za kuchezeaZaidi
ya matiti, shingo na midomo (lips) na kisimi wanaume wengi hawajui ni
sehemu zingine zipi ambazo wanawake huwasisimua zaidi.
Kuna sehemu zingine ambazo mwanamke akuguswa anaweza kusisimka haraka zaidi.
Tumbo, matako, mapaja, nyuma ya shingo, mabega, mgongo, sehemu iliyopo kati ya uke na nyuma
(kutumia mtandao wa Vodacom au tigo ni dhambi kubwa kabisa tena ukome kama una hayo mawazo, mwenye hekima na afahamu naongea nini)
Hizi sehemu ni muhimu sana kwake kuguswa wakati wa kumuandaa.
Pia lazima uwe mtundu kuweza kusoma lugha yake na jinsi nini anakifurahia na nini hafurahii wakati wa maandalizi.
(iii) Kuwa bubu bila kuongea maneno matamu na kumsifiaWakati
wa tendo zima la kufanya mapenzi wanawake wanategema mwanaume awe
anaongea si kuwa bubu na kuongea huanzia kwenye maandalizi na kama wewe
ni fundi wa kuongea basi hutachukua muda mrefu kuhakikisha moto umewaka.
Kuna maneno matamu, kwenye mapenzi maneno matamu yapo ya aina mbili, kwanza ni dirty words (mfano uke kwa jina jingine unaitaje vile au uume kwa jina jingine unaitaje vile)
na pili maneno ya kumsifia juhudi yake au alivyo na umbo zuri. Dirty
words husaidia kumsisimua na kupa nyege zaidi na maneno ya sifa
husababisha atoe juice zaidi.
(iv) Kubusu kwa kinyaa au bila UstaarabuWakati
unambusu usiache mimate kila mahali uwe mstaarabu pia usioneshe kwamba
una kinyaa katika kubusu baadhi ya sehemu ambazo yeye anapenda umbusu,
huyo ni mke wako na yeye wewe ni mwili mmoja, yeye ni wewe na wewe ni
yeye, hivyo unaruhusiwa kubusu sehemu yoyote ndiyo maana usafi ni jambo
la kwanza kabisa katika mapenzi.
Kumbuka kuna msema ambao husema
CLEANNESS IS SECOND TO GODLINESS
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!