Ni headlines za msanii Linah Sanga ambae leo August 9, 2016 amefunguka na kutaja kashfa ambayo hatoweza kuisahau maisha mwake.
Msanii huyo kuyaongea haya>>>’Kashfa ambayo iliwahi kuniumiza na sitoisahau ni ile niliyoambiwa nimebakwa wakati si Lina mimi bali ni Lina mwingine’-
‘Kiukweli
ile habari jinsi ilivyokuwa inaandikwa kwenye mitandao mbalimbali
iliweza kuenea sana hadi nilipigiwa simu na wazazi wangu pamoja na watu
wangu wa karibu kiukweli nilikosa raha, ni mwaka 2013 baadae nilivyokuja
kubaini nikakuta si kweli bali ni mtu mwingine ambae tunafanana
majina’- Lina
Msikilize zaidi Lina kwa kubonyeza play hapa chini
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!