Msanii wa muziki,
Linah Sanga amekanusha tetesi ambazo zilisambaa katika mitandao ya kijamii kuwa
anatoka kimapenzi na rapper
Billnas.
linnah
Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo ‘Raha Jipe Mwenyewe’ hivi
karibuni, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa
Billnas ni mshkaji wake.
“
Watu wanatakiwa wajue tu kuwa mimi na
BillNas si wapenzi ila sisi ni
watu wa karibu sana,” alisema
Linah “Saizi mimi na Bill Nas ni washikaji sana maana siri yake ndiyo siri yangu,”
Aliongeza, “Bill Nas ndiye aliyenishauri nibadilike kwenye muziki na
kunipa ‘connection’ na ‘Producer’ T Touch, yeye ndiye aliniambia
nibadili mfumo mzima wa muziki wangu na ndiyo nikafanya hivyo,”
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!