Wajasiriamali wengi wamekuwa wakitafuta mbinu mbalimbali za kufanya
biashara aidha kwa kuuza huduma au bidhaa. Lakini wachache sana hasa
Afrika ambao wanafikiria kufanya biashara katika intaneti. Kuna mbinu
nyingi tofauti za kufanya biashara katika intaneti ambazo zinatoa fursa
kwa wajasiriamali kujiongezea kipato.
Kinachohitajika ni simu au kompyuta yenye kuunganishwa na mtandao wa
intaneti na pia kuwa umejiunga na mitandao ya kijamii ,au mmiliki wa
tovuti au blogu (ambazo unaweza kupata bure) au barua pepe.
Zifuatazo ni baadhi ya programu zinazokuwezesha kupata fedha kupitia intaneti:
1. Kuuza Bidhaa za Biashara Yako Kupitia Tovuti
Unaonesha biadhaa zako na bei,wanunuaji wanaziona na kuweka oda ya
manunuzi. Wanalipa kwa Kadi ya Benki Credit /Debit Card) na fedha
inaingia katika akaunti yako benki. Au kwa kutumia malipo kwa mfumo wa
simu kama M-Pesa ,Tigo Pesa na Airtel Money kwa Tanzania.
2. Kuuza bidhaa za biashara ya watu wengine kupitia tovuti
Unajisajili na baadhi ya makampuni yanayouza bidhaa mtandaoni duniani kama
Amazon na
eBay na
kisha kuonesha bidhaa zao katika tovuti au blogu au katika mitandao ya
kijamii kama facebook na twitter. kisha watu wakinunua bidhaa hizi
kupitia matangazo yako basi unapata kiasi cha malipo waliyofanya yaani
kamisheni.
Kujiunga fuata linki:
3. Kuuza Matangazo Kupitia Tovuti au Blogu
Kuna makampuni mbalimbali dunia ambayo yana wakutanisha watangazaji na wauzaji kupitia matangazo katika tovuti au blogu.
Watangazaji wanajiunga nakutuma matangazo ya biashara yao na wauzaji
wenye tovuti wanajiunga nakuruhusu matangazo kuonekana katika tovuti
zao.
Wauzaji wa matangazo wanalipwa kila tangazo linapoonekana katika tovuti au watu wanapo bonyeza matangazo haya.
Mfano ni
adsense ,
chitika ,
BuySellAds nk.
Unahitaji kuwa na tovuti au blog ili kufanikiwa katika programu hii.
4. Kufanya Kazi za Ajira Kupitia Mtandao
Kuna makampuni ambayo yanataka wafanyakazi katika mtandao ambao wanaweza kufanya kazi fulani na wanalipwa wakikamilisha.
Baadhi ya kazi ni kama kutengeneza tovuti, kutengeneza programu za
komputa au simu, kuchapa,kusikiliza na kutohoa suuti kwenda maandishi
n.k
Badhi ya mitandao inyotoa huduma hizi ni
surveycompare.net ,
odesk.com,
onlinejobs.net ,
elance.com ,
peopleperhour.com na
fiverr.com
5. Kutangaza Biashara kwa Kutuma Linki
Mbinu hii ndiyo hasa ninayopenda kuisisitiza hapa. Sababu ya
kusisitiza nimkwasababu inafanya kazi kwa haraka na urahisi. Huhitaji
kuwa na tovuti wala blogu kufanikisha. Kama tu upo katika mitandao ya
kijamii kama facebook,twitter,intagram na mingine kama skype,whatsapp na
pia kwa email unaweza kufanikiwa sana kwa kutuma linki ambayo marafiki
zako wakiifungua utapata malipo.
Mfano Nimesoma katika intaneti kitu kizuri juu ya kupunguza unene na
nataka marafiki zangu wanene wafidike kama haupo katika bishara hii
nitatuma linki katika kundi katika facebook mfano na sitapata chochote.
Lakini ukiwa katika programu hizi unawezeshwa wewe kupata malipo kila unapofanya hivyo. Rahisi
Kama una marafiki wengi basi uwezo wako wa kufanikiwa ni mkubwa sana
Ifuatayo ni mitandao inayotoa huduma hii:
Kampuni hili linakutaka ujiunge kisha shirikisha marafiki zako kwa
kuweka linki katika mitandao ya kijamii,tovuti ,blogu na barua pepe.
Kila mtu atakayefuata linki unapata $0.5 sawa na Tsh. 800/-
Na ukijiunga tu unapata $2 kwenye akaunti yako. Wanalipa kupitia MoneyGram na PayPal
Kujiunga: Bonyeza Hapa
Ukitaka kushirikisha marafiki linki yoyote nzuri katika mtandao basi
unakopi hiyo linki kisha unaingia katika tovuti yao na kuifupisha. Baada
ya hapo utakopi linki iliyofupishwa na kuishirikisha kwa marafiki
katika mitandao ya jamii na tovuti au barua pepe. Kila mtu anayefuta
lini unapata malipo
Marafiki wanapata habari nzuri na wewe unapata fedha
Jiunge hapa: Bonyeza Hapa
Kama ilivyo CashFly;adfly wanakuwezesha kufupishalink na kusambaza kwa marafiki
Kujiunga: Bonyeza Hapa
Kama ilivyo CashFly na adfly wanakuwezesha kufupishalink na kusambaza kwa marafiki
Kujiunga: Bonyeza Hapa
Programu hii ni tofauti na hapo juu. Hapa unajiunga kisha unapewa linki kadhaa za kuzifuata.
Unalipwa kwa kubonyeza linki na kusoma kila kliki inaweza ikakupa $2 sawa na Tsh. 3,500 hivi.
Kujiunga: Bonyeza Hapa
Anza Sasa
Shiriki na marafiki zako upate fedha. Mtandao wa intaneti umeleta fursa nyingi sana kwa kila mtu.
Unaweza ukaanza na programu mojawapo ili kupata uzoefu na kadiri unavyoendelea unaweza ukajaribu na nyingine.
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!