Ni August 11, 2016 ambapo Mchekeshaji wa filamu Kitale amefunguka kuhusiana na mali zilizoachwa na marehemu Sharo Milionea.
Staa huyo kuyaongea haya>>>>Wakati
mimi niko nae alipofikia level fulani ilinibidi nimtafutie uongozi
ambae HK alihusika kumsimamia ila baadhi ya vitu hususani kama viwanja,
bajaji, kodi alipokuwa akiishi pale sinza vile vyote nilijitahidi
akakabidhiwa mama mzazi’– Kitale
‘Mama
wa Sharo tulimuuliza kwamba kiwanja kilichonunuliwa na Sharo Je kiuzwa
alituambia tukiuze atajenga nyumba Tanga pamoja na fedha zilizokuwa
zinatoka kwenye makampuni ya ringtone’= Kitale
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!