Kikundi cha IS kimetangaza kuwa kiongozi wake ABUU MOHAMMED ADNANI,
ameuawa katika mashambulio dhidi ya wapiganaji hao yanayoendelea nchini
SYRIA
ADNANI ameuawa katika mashambulio ya makombora yaliyofanywa na Nchi
ya MAREKANI dhidi wapiganaji ya hao wa kikundi cha IS, Jana Jumanne,
Kusini mwa Nchi HiYo. Majeshi ya MAREKANI yalifanya mashambulio ya
makusudi kumlenga Kamanda huyo wa IS.
Kifo cha ADNAN kinaonekana kuwa you Pigo kubwa kwa wapiganaji wa
kikundi cha IS, ambao wameendelea kuhatarisha usalama katika maeneo
mbalimbali Duniani. Kamanda huyo anajulikana kwa kupanga na kutekeleza
mashambulio mbalimbali ya za kigaidi katika Nchi magharibini.
ADNAN, pia anatuhumiwa kupanga mashambulio mbalimbali ya za kigaidi katika Nchi IRAQ na SYRIA.
Habari Zaidi kutoka nchini SYRIA zinasema Waasi nchini HiYo
wametangaza kuwa watakabidhi kitongoji cha SUBURB, kilichoko Mjini
Damascus, nchini humo kwa majeshi ya serikali ya Nchi HiYo.
Waasi nchini SYRIA wamesema watakabidhi kitongozi hicho kwa majeshi
ya serikali ili Raia ambao wamekuwa wakizingirwa kwa siku kadhaa kwenye
ENEO hilo, Pamoja na wapiganaji waruhusiwe kuondoka.
..................................................................................................................................................
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!