Leo ni birthday ya mtoto wa Diamond, Tiffah ambapo ndugu, jamaa
pamoja na marafiki katika mitandao ya kijamii wanaendelea kum-wish binti
huyo.
Zai
Mmoja kati ya watu ambao wamem-wish binti huyo ni Ex wa Zari, Ivan
ambapo amemtakia binti huyo afya njema katika maisha yake. Lakini ujumbe
huo umezua upya vuguvugu kwa mashabiki ambao bado wanaamini Tiffah ni
mtoto wa Ivan licha ya Diamond kukanusha uvumi huo mara kadhaa.
“Big shoutout to this innocent beautiful
soul. May you live to blow more candles to come Princess_tiffah,”
aliandika Ivan katika ukurasa wake wa instagram huku akiwa ameweka picha
ya binti huyo.
Baada ya kuandika ujumbe huo, mashabiki katika mitandao ya kijamii
wamekuwa na maoni tofauti. Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki hao.
Mtoto karudi kwa baba jaman, Damu nzito nyie @ivandon ongera Ivan
kwakupigania mpaka mwanao kaja atimaye mungu mkubwa jaman khaa.
Sweet_verosaHahaha yani nimecheka mpaka nimelia heti Mungu mkubwa tifa karudi kwa baba yake.
Didiz_buuNimempenda Bure uyu mzungu wa kiganda sijui kisauz…. Big up bro Ivan…. U gat a unique heart… Happy birthday baby teepher
AngellyamuyaCongratulation big Boss I salute you.
AniveraaaaaIvan Don Kai u re a man,dis jst gt me crying a u
re a nice man.God will perfect everything dat concerns u and gve h a
better companion amen.
NelyhassanSure she is beautiful innocent soul happy birthday girl @princess_tiffah
Cassandra_jollyHappy birthday to her…..u r a gentleman Ivan
Johnson_willoNow i realize how gentle ur.@ivandon conglatulation men.And happybornday to the one and only.@princess_tiffah.
Binti_wa_bagokaMy love @christinamboy aiseeee njoo umuone mume wa zari alivyo zungu ametishaaaa
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!