Kajala: Nataka Kuzaa Mtoto wa Kiume:;

Kajala na Mwanae Paula
“Nahitaji kuzaa mtoto wa kiume ili Pamela naye ajivunie kuwa na kaka,
siku zote nilitamani nipate watoto wenye jinsia tofauti, tayari ninaye
wa kike sasa ni zamu ya kumpata mwingine wa kiume.” Ni kauli ya Kajala
Masanja mwanadada anayefanya vyema kwenye soko la filamu nchini.
Kauli hiyo ya Kajala imekuja siku chache baada ya kuulizwa na Global
Digital kama ana ndoto za kupata mtoto mwingine siku za hivi karibuni
wakati mumewe akiwa bado yupo gerezani.
Mwanadada huyo alifunguka zaidi na kusema, “Hakuna mwanamke asiyependa
kuwa na mtoto wa kiume japokuwa mtoto ni mtoto, na nipo tayari kuzaa na
mwanaume yeyote aliye tayari na anayejitambua na kuwa tayari kuitwa baba
na kugharamia gharama za matunzo ya mtoto kwa kushirikiana.”
Alisisitiza.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!