Juhudi za kuzima moto zaendelea nchini URENO
Wazima moto zaidi ya 4,000 wanaendelea na zoezi kuzima moto wa msituni
unaoendelea kuwaka katika kisiwa cha utalii cha MADEIRA nchini URENO
Watu WANNE wamepoteza wakiwepo watalii WATATU katika mji wa MADEIRA na pwani ya kisiwa hicho.
Waziri mkuu wa URENO, ANTONIO COSTA ameahidi kutoa msaada kwa wote
waliathiriwa na moto huo na kufanya ukarabati wa majengo na miundo
mbinu katika kisiwa hicho cha kitalii.
Uongozi katika kisiwa hicho cha MADEIRA umetoa taarifa kuwa baadhi
ya watalii wamekatisha safari zao na kurejea hotelini wakati wengine
zaidi ya 260 wakipatiwa hifadh maalum.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!