Mfanyabiashara wa nguo ‘Chidi
Mapenzi’ yupo mbioni kufunga ndoa na mwigizaji
Shamsa Ford baada ya hivi karibuni kumtolea barua mrembo huyo.
uigizaji huyo alikaririwa na gazeti la Mtanzania akisema kwamba licha
ya kupita katika changamoto za wapenzi wengi, mpenzi wake huyo wa
sasa ndiye aliyeonyesha ushawishi wa hadi kutaka kumuoa.
“Kwa hatua hii najivunia, hadi
mwanaume akushawishi muoane huyo ana nia njema na heshima kwangu,” alisema
Shamsa.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!