Huu ndio Uhusiano wa Mtandao wa Shule za Feza, Uislamu na Ugaidi na Mapinduzi ya Uturuki:;
Shule za Feza zimetapakaa nchi zaidi ya 16O duniani na zinamilikiwa na mtandao unaoitwa Hizmet Movement
Hawa Hizmet Movement ni wafuasi wa Imamu wa Kituruki aishiye Marekani anyefhamika kwa jina la Fethullah Gulen
Walimu wengi wa
shule hizi wametoka kwenye
mtandao wa Gulen japokuwa Gulen siyo mmiliki wa
shule hizo
Uhusiano wa shule hizi na uislam,
Walimu wa
shule hizi wnahimiza
uislamu kwenye mabweni ya
shule mabapo walimu huweka mfano wa aina ya maisha anayotakiwa aishi mwanafunzi na sala
Pia zinaotoa namna ya kueneza
uislamu kwa upole ili kusaidia kupunguza kuenea kwa uisilamu wa itikadi kali duniani
Hata hivyo
shule hizo sio kwa ajili ya waisilamu pekee na wala haziwezi kuhesabiwa kama
shule za kiislam isipokuwa kuna baadhi ya
shule chache ambazo ni za Kiislam kabisa
Shule hizi zipo nchi mbalimbali duniani hasa zile zenye watu wengi wenye asili ya
Uturuki kama Ujerumani, Marekani, Canada
Sifa za shule hiziShule
hizi zimekuwa zikisifika katika nchi mbalimbali zilizopo kwa kutoa
elimu bora na kuwa na kiwango kidogo cha utoro na kuhama kwa wanfunzi
nchini Australia
shule 17 za mtando huu zinafanya vizuri ukilinganisha na
shule nyingine zianvyofanya kwenye masomo
Mtando huu wa hizi
shule una agenda ya siri?
Serikali nyingi na wasomi wamekuwa wakihisi
shule hizi kuwa na agenda zaidi ya kutoa elimu, Profesa wa Kituruki chuo kikuu cha Utah huko Marekani alidai
shule hizi na
mtandao unaozimiliki zina lengo la kisiasa, lengo hilo ni kuzalisha kikundi cha watu ambao watageuza
Uturuki kuwa kituo kikuu cha dini ya Uisilamu duniani, kugeuza nchi hiyo kuwa ya kiislam na kwa sasa
ndio kikundi chenye nguvu zaidi
Uturuki na hakina mpinzani wa kushindana nacho
Chama kimoja cha
siasa nchini Georgia kilipinga kufunguliwa kwa
shule
hizo Georgia kwa kuwa walikuwa na lengo la kutawalisha utamaduni wa
Kituruki na dini nchini kwao na kwenye mfumo wa elimu wa nchi yao
Je kwa nini
shule hizi zinahusishwa na
Ugaidi?
Kumekuwa na uhimizo kutoka serikali ya
Uturuki kwa nchi za Afrika kama Tanzania {walishakuja mwaka 2o13 mara ya kwanza}, Nigeria, Kenya Uganda kufunga
shule hizi kwa madai ya kuwa zina jihusisha na
ugaidi,
serikali nyingi zimekataa kufunga
shule hizo zikidai ni mambo yao ya ndani lakini kuna baadhi ya mataifa yenye kutegemea sana
Uturuki yameshazifunga, Mataifa hayo ni Somalia, Kazakhstan Uzbekistan na Tajikistan zimesha funga
shule hizo tangia mwaka 2O12 kutokana na aliyekuwa wairi mkuu wa
Uturuki ambaye pia sasa ndie rais Recep Tayyip Erdogan kuwataka wazifunge.
Mataifa kama Iran, Syria na Saudi Arabia hayaruhusu kabisa kufunguliwa kwa
shule hizi nchini kwao
Kutakiwa kufungwa kwa
shule hizi sababu sio za kigaidi bali ni za kisiasa zaidi, Yadiwa aliyepo nyuma ya
mtandao huu Fetullah Gulen na rais wa sasa wa
Uturuki Recep Tayyip Erdogan wana vita kutokana na mmoja kuonekana ana ushawishi zaidi
Uturuki,
mahasimu hawa ambao walikuwa ni marafiki wa kisiasa wamekuja kuwa
maadui baada ya skendo ya rushwa kukumba baraza la mawaziri la serikali
ya Erdogan na mtoto wa Erdogan kuhusishwa
Rais huyu alitaka skendo hiyo ya rushwa isichunguzwe na wasikamatwe
ili asichafue serikali yake lakini Imam Gulen alikuwa na ushawishi zaidi
juu yake na mawaziri hao wakakamatwa, wakashtakiwa na kukutwa na hatia
ambapo majaji na polisi hao walihisiwa ni ni wafuasi wa Gulen kutokana
na kutosikiliza matakwa ya mkuu wao wa nchi
Kutokana na hili Erdogana akamtuhumu Gulen kutengeneza dola nyingine ndani ya dola ya
Uturuki
na kuanza kumuandama tangia mwaka 2O12, na kwenye uchaguzi wa mwaka
2O15 alipoteza majority ya wabunge wa serikali kwa kuwa alikuwa
amekosana na Gulen
Gulen mwenye miaka 78 amekuwa na wafuasi wengi nchi
Uturuki na amekuwa akihimiza
uislamu usio na msimamo mkali na ameandika vitabu vingi kukemea
ugaidi na amekuwa akionekana na kushambuliwa kama ‘muisilamu mlaini’ kutokana na msimamo wake huo,
Mapinduzi ya Uturuki yalikuwa ni mapinduzi fekiBaada
ya kuona Gulen bado ana wafuasi wengi ndani ya nchi yake basi rais wa
nchi hiyo akatafuta namna ya kuwakamata, rais huyo alipanga
mapinduzi feki, kisha kuwasingizia wafuasi na askari wa Gulen
ndio waliopanga
mapinduzi
hayo na akapata fursa ya kuwakamata, hadi sasa wamekamatwa watumishi wa
umma zaidi ya 5o,ooo na amepanga kurudisha adhabu ya kifo kwa watu hao
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!