Wazazi wa wamarekani wawili
waliouliwa miaka minne iliyopita nchini Libya wanamshutumu mgombea Urais
kupitia chama cha Democratic Hillary Cliton, kwa kuchangia kutokea kwa
mauaji hayo.
Clinton waziri wa masuala ya kigeni wa Marekani kipindi ubalozi wa Marekani nchini Libya uliposhambuliwa.
Patricia
Smith na Charles Woods, ambao ni wazazi wa Sean Smith na Tyrone Wood
wamesema kuwa matumizi ya barua pepe binafsi zilichangia mauaji ya
watoto wao.
Msemaji wa kampeni za Hilary Clinton amepinga tuhuma hizo. Ingawa
kamati ya Chama cha Republican inaweka wazi mabaya aliyoyatenda Hilary,
jambo linalo tia doa kampeni zake za Urais.
Uvamizi wa majeshi ya kiislam katika ubalozi wa Marekani
uliwauwa raia wanne wa nchi hiyo akiwemo Balozi Chris Stevens.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!