Hanscana Atemana na Wanene Entertainment:;
Muongozaji mahiri wa video nchini, Hanscana ametangaza kuacha na
kampuni ya Wanene Entertainment ikiwa ni wiki chache toka wazindue
studio mpya na zakisasa za kampuni hiyo.
Hanscana
Director huyo ambaye kwa sasa anafanya video nyingi za wasanii,
amesema hajagombana na uongozi wa kampuni hiyo bali anaamua kuanza
maisha yake binafsi.
Kupitia instagram yake alitoa taarifa hii.
Special Announcement.Hanscana na Crew yangu nzima ya videos department HATUPO TENA WANENE ENT tangu 4Aug2016 Kwasababu .
- kutofautiana kimalengo baina ya HANSCANA BRAND na WANENE ENT.
Ni Juhudi kubwa sana nilizotumia kuitengenezea jina na kuitangaza NA
KUIPIGANIA KAMA KITU CHANGU KABISAAA FROM ZEEEERO TO YEEAH Wanene Ent
mpaka kufikia kuwa ni moja ya Kampuni kubwa ya Videos hapa E.A
- Nimekuwa now (23
)
HANSCANA nahitaji kuwa na Kampuni yangu na mimi
BUT HAKUNA UBAYA
WOWOTE BAINA YANGU NA WANENE ENT. BADO NNA MAPENZI NA WANENE ENT COZ NI
KITU AMBACHO NILIKIPIGANIA MWENYEWE SIWEZI KUKIONGELEA VIBAYA HATA KWA
BAHATI MBAYA
Nimeamuwa kuliweka hili wazi tokana napokea simu nyingi
sana toka vyombo tofaut tofauti vya habari,bloggers etc kujuwa whats
happening btwn me n wanene. Na huo ndo ukweli NO MORE
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!