Mrembo Faiza Ally Ameamua Kufunguka haya Hapa Chini:
“Napenda kuvaa half naked – Na najipenda kujiangalia nilivyo bomba Na kuangalia watu wanavyo niponda…. najue wengi mnatamani lkn Ndio hivyo tumeumbwa tofaut….
Msinifananishe
na mtu mwenye mzigo nyuma#hakunaga star mnene duniani hlf pia
msinifananishe na wenye vijuso Kama katuni – mi niko Na class beauty

I AM DIFFERENT” Faiza Ally
COMMENT AND SHARE.....................................................................
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!